KLABU ya Azam FC imeingia mkataba wa miaka miwili na hospitali ya Aga Khan kwa ajili ya matibabu ya wachezaji na wafanyakazi wake wote. Taarifa ya Azam FC imesema kwamba mkataba huo wa miaka miwili umesainiwa leo katika hospitali hiyo iliyopo eneo la Sea View Upanga Dar Es Salaam. Mtendaji mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Nurdin Mohamed Amin 'Popat' na mwenzake Sisawo Konteh wa Aga Khan ndiyo waliosaini mkataba huo kwa niaba ya taasisi zao.
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment