
Tuesday, February 28, 2023

RAIS wa heshima wa Simba SC, Mohamed ‘Mo’ Dewji ameteua Wajumbe wapya wanne wa Bodi chini ya Mwenyekiti, Salum Abdallah Muhene 'Try Agai...
Monday, February 27, 2023
MO DEWJI AMTEUA TENA TRY AGAIN KUONGOZA BODI SIMBA
Monday, February 27, 2023
RAIS wa heshima wa Simba, Mohamed ‘Mo’ Dewji amemteua Salum Abdallah Muhene 'Try Again' kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya klabu k...
BETIKA KUWALETA DAR KWA NDEGE MASHABIKI KUONA SIMBA NA YANGA
Monday, February 27, 2023
PROMOSHENI ya Mtoko wa Kibingwa ya Kampuni ya Ubashiri ya Betika, imepata washindi 20, waliojishindia Tiketi za usafiri wa Ndege (kwenda na...
SINGIDA BIG STARS YAICHAPA MTIBWA SUGAR 2-0 LITI
Monday, February 27, 2023
MABAO ya Rodrigo Fegu dakika ya 11 na Meddie Kagere dakika ya 37 yameipa Singida Big Stars ushindi wa 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchez...
BAKHRESA GROUP, AZAM MEDIA NI SUPER BRANDS
Monday, February 27, 2023
KAMPUNI ya Azam Media pamoja na Kampuni mama ya Bakhresa Group zimeng’ara kwenye tuzo za Super Brands (Chaguo la Afrika Mashariki) kwa mwaka...
Sunday, February 26, 2023
S4C YA BETIKA YAENDELEA KUSHIKA KASI COCO BEACH
Sunday, February 26, 2023
MASHUNDANO ya Sodo 4 Climate (S4C) ya Kampuni ya Michezo ya Kubashiri ya Betika kwa kushirikiana na Taasisi ya Tulia Trust imeendelea kushik...
MAN UNITED WATWAA TAJI LA KWANZA BAADA YA MIAKA SITA
Sunday, February 26, 2023
TIMU ya Manchester United imefanikiwa Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Newcastle United leo ...
MAYELE AFUNGA YANGA YATOA DROO MALI 1-1
Sunday, February 26, 2023
MABINGWA wa Tanzania, Yanga SC leo wamelazimishwa sare ya 1-1 na wenyeji, Real Bamako Uwanja wa Machi 26 Jijini Bamako katika mchezo wa Kund...
NAMUNGO FC YAICHAPA GEITA GOLD 2-1 RUANGWA
Sunday, February 26, 2023
WENYEJI, Namungo FC wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Majaliwa...
MAYWEATHER AONYESHA BADO HATARI ULINGONI
Sunday, February 26, 2023
PAMBANO la maonyesho baina ya Floyd Mayweather na nyota wa Tv wa England, Aaron Chalmers lilimaliza pasipo mshindi kutajwa baada ya wawili h...
LIVERPOOL NA CRYSTAL PALACE HAKUNA MBABE
Sunday, February 26, 2023
WENYEJI, Crystal Palace wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Liverpool katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Selhurst Park...
MWANA FA NAIBU MPYA WAZIRI WA UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO
Sunday, February 26, 2023
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amemteua mwanamuziki na Mbunge wa jimbo la Muheza mkoani Tanga kuwa Naibu W...
Saturday, February 25, 2023
MAN CITY YAIFUMUA BOURNEMOUTH 4-1 VITALITY
Saturday, February 25, 2023
MABINGWA watetezi, Manchester City wameibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya wenyeji, AFC Bournemouth katika mchezo wa Ligi Kuu ya England ...
AZAM FC YAICHAPA KMC 1-0 CHAMAZI BAO PEKEE LA IDDI NADO
Saturday, February 25, 2023
BAO pekee la Iddi Suleiman ‘Nado’ dakika ya 52 limeipa Azam FC ushindi wa 1-0 dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo U...
SIMBA SC YAZINDUKA AFRIKA, YAIBAMIZA VIPERS 1-0 UGANDA
Saturday, February 25, 2023
BAO pekee la beki Mkongo, Henock Inonga Baka 'Varane' dakika ya 20 limetosha kuipa Simba SC ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Vipers ...
ARSENAL YAICHAPA LEICESTER CITY 1-0 KING POWER
Saturday, February 25, 2023
BAO pekee la Gabriel Martinelli dakika ya 46 limeipa Arsenal ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Leicester City katika mchezo wa Ligi Kuu ya E...
COASTAL UNION YAICHAPA TANZANIA PRISONS 1-0 MKWAKWANI
Saturday, February 25, 2023
BAO pekee la kiungo Gustapha Simon dakika ya 49 limeipa Coastal Union dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara ...
Friday, February 24, 2023
IHEFU SC YAICHAPA DODOMA JIJI 2-1 JAMHURI
Friday, February 24, 2023
TIMU ya Ihefu SC imepata ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Jamhuri J...
KAGERA SUGAR YAICHAPA RUVU SHOOTING 1-0 MOROGORO
Friday, February 24, 2023
BAO pekee la mshambuliaji Mganda, Hamisi Kizza ‘Diego’ dakika ya 90 limetosha kuipa Kagera Sugar ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Ruvu Shoo...
MAN UNITED NA BETIS, ARSENAL NA SPORTING 16 BORA EUROPA LEAGUE
Friday, February 24, 2023
TIMU ya Manchester United itakutana na Real Betis ya Hispania katika Hatua ya 16 Bora ya UEFA Europa League, wakati Arsenal itamenyana na Sp...
M-BET YAMWAGA MAMILIONI KWA WASHINDI WAWILI, YAIOMBEA HERI SIMBA
Friday, February 24, 2023
KAMPUNI ya mchezo ya kubashiri ya M-Bet Tanzania imewazawadia washindi wawili kila mmoja Sh175.3 millioni baada ya kubashiri kwa usahihi mat...
MAN UNITED YAICHAPA BARCELONA 2-1 EUROPA LEAGUE
Friday, February 24, 2023
WENYEJI, Manchester United wamefanikiwa kwenda Hatua ya 16 Bora michuano ya UEFA Europa League baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Barcelona ...
Thursday, February 23, 2023
MBEYA CITY YAWACHAPA POLISI TANZANIA 1-0 ARUSHA
Thursday, February 23, 2023
BAO pekee la Tariq Seif dakika ya nane limetosha kuipa Mbeya City ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Ku...
SINGIDA BIG STARS YATOZWA FAINI MECHI NA SIMBA SC
Thursday, February 23, 2023
KLABU ya Singida Big Stars imetozwa faini ya Sh. Milioni 1 kwa kosa la kukataa kuingia kwenye chumba mahsusi cha kubadilishia nguo katika me...
SIMBA SC YAENDA UGANDA KUSAKA USHINDI KWA VIPERS
Thursday, February 23, 2023
KIKOSI cha Simba SC kimeondoka nchini leo jioni kwenda Uganda kwa ajili ya mchezo wa mwisho mzunguko wa kwanza Kundi C Ligi ya Mabingwa Afri...
YANGA SC YAWAFUATA REAL JIJINI BAMAKO MECHI JUMAPILI USIKU
Thursday, February 23, 2023
KIKOSI cha Yanga kimeondoka leo nchini kwenda Bamako nchini Mali kwa ajili ya mchezo wake wa mwisho wa mzunguko wa kwanza wa Kundi D Kombe l...
MAN CITY YATOA SARE NA LEIPZIG 1-1 UJERUMANI
Thursday, February 23, 2023
WENYEJI, RB Leipzig jana wametoa sare ya kufungana bao 1-1 na Manchester City katika mchezo wa kwanza Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulay...
KMC 0-1 YANGA SC (LIGI KUU TZ BARA)
Thursday, February 23, 2023
KLABU 13 KUSHIRIKI MASHINDANO YA TALISS- IST KUOGELEA
Thursday, February 23, 2023
KLABU 13 zimethibitisha kushiriki katika mashindano ya kuogelea ya Taliss-IST yaliyopangwa kufanyika Februari 25 na 26 kwenye Bwawa la Kuoge...
Wednesday, February 22, 2023
MZIZE APIGA BAO PEKEE YANGA YASHINDA 1-0
Wednesday, February 22, 2023
BAO pekee la mshambuliaji chipukizi, Clement Mzize dakika ya 38 limetosha kuipa Yanga SC ushindi wa 1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzani...
BETIKA YAZINDUA KAMPENI YA SODO 4 CLIMATE
Wednesday, February 22, 2023
KAMPUNI ya michezo ya kubashiri Tanzania Betika kampeni ya Sodo 4 Climate, katika kampeni hii betika wanahamasisha utunzaji wa mazingira k...
Subscribe to:
Posts (Atom)