MSHAMBULIAJI Yusuph Athumani amejiunga na Coastal Union ya Tanga hadi mwisho wa msimu kwa mkopo kutoka Yanga SC. “Nyota wetu, Yusuph Athuman ameomba kutolewa kwa mkopo ili apate muda zaidi wa kucheza baada ya ushindani wa namba kuwa mkubwa kwenye kikosi cha Yanga,” imeeleza taarifa ya Yanga SC. Athuman alijiunga na Yanga akitokea Biashara United FC ya Mara msimu wa 2021-2022, bahati mbaya kwake hakupata nafasi kwenye kikosi cha kwanza kutokana na kushindwa kumshawishi kocha Mtunisia, Nasredine Nabi.
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment