SIMBA YASAJILI MSHAMBULIAJI WA MALINDI YA ZANZIBAR
KLABU ya Simba imemtambulisha mshambuliaji mpya Mohammed Mussa kutoka klabu ya Malindi ya Zanzibar ambaye anakuwa mchezaji mpya wa nne katika dirisha dogo lililofungwa jana usiku. Wengine wapya ni kiungo wa ulinzi Mburkinabe, Hemed Ismael Sawadogo kutoka Difaa El Jadida ya Morocco, kiungo mshambuliaji Mrundi, Saido Ntibanzokiza kutoka Geita Gold na mshambuliaji Mkongo, Jean Toria Baleke Othos kutoka Nejmeh SC ya Lebanon.
CAF confirm date and venue for CHAN 2024 Draw
-
CAF has confirmed the official draw for the 2024 TotalEnergies African
Nations Championship (CHAN) will take place on 15th January 2025. Kenyatta
Interna...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment