KLABU ya Simba imemtambulisha Ouanane Sellami kuwa Kocha Msaidizi, hilo likiwa pendekezo la kocha mpya, Mbrazil Robert Oliviera ‘Robertinho’. Taarifa ya Simba SC jioni ya leo imesema kwamba Sellami ataungana na makocha waliopo kikosini - pamoja na Robertinho wengine ni wazawa Juma Mgunda na Suleiman Matola, kocha wa makipa, Mmorocco, Physio Faried Cassiem na Kocha wa Fiziki Kelvin Mandla Ndlomo wote kutoka Afrika Kusini. Wengine katika benchi la Ufundi ni wazawa, Meneja Patrick Rweyemamu, Daktari Edwin Kagabo na Mtunza Vifaa, Hamisi Mtambo.
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment