SIMBA SC YASAJILI KIUNGO MBURKINABE KUTOKA MOROCCO
KLABU ya Simba imemtambulisha kiungo wa ulinzi wa Kimataifa wa Burkina Faso, Hamed Ismael Sawadogo kuwa mchezaji wake mpya katika dirisha hili dogo. Sawadogo anakuwa mchezaji mpya wa pili katika dirisha hili dogo baada ya kiungo mshambuliaji wa Kimataifa wa Burundi, Saido Ntibanzokiza aliyekuwa anacheza Geita Gold. Sawadogoni (26) anajiunga na Simba kutoka Difaâ El Jadida ya Morocco baada ya awali kuzitumikia Enppi SC ya Misri, Al-Arabi SC ya Kuwait, Al Mabarra ya Lebanon, AS Douanes, US Ouagadougou, Salitas na RC Kadiogo za kwao.
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment