• HABARI MPYA

        Wednesday, January 11, 2023

        RASHFORD APIGA MBILI MAN UNITED YASHINDA 3-0


        WENYEJI, Manchester United wamefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Ligi England baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Charlton Athletics jana Uwanja wa Old Trafford.
        Mabao ya Manchester United kwenye mchezo huo wa Robo Fainali ya Carabao Cup yamefungwa na Antony dakika ya 21 na Marcus Rashford mawili, dakika ya 90 na 90 na ushei.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: RASHFORD APIGA MBILI MAN UNITED YASHINDA 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry