HATIMAYE matokeo ya Uchaguzi wa Simba SC yametangwzwa na Murtaza Ally Mangungu ameshinda tena nafasi ya Mwenyekiti wa Klabu kwa kupata kura 1,311. Walioshinda nafasi ya ujumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ni; 1.Dr Seif Ramadhan Muba - kura 1636 2.Asha Baraka - kura 1564 3.CPA Issa Masoud Iddi - kura 1285 4. Rodney Chiduo - kura 1267 5. Seleman Harubu - kura 1250
Press Conference: End of Year Address
-
Dear Members of Sports Media, You are kindly invited to attend and cover
the End of Year address on football matters by FUFA President Hon. Magogo
Moses ...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment