// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
MAN UNITED YAIPIGA BOURNEMOUTH 3-0 OLD TRAFFORD - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEMAN UNITED YAIPIGA BOURNEMOUTH 3-0 OLD TRAFFORD - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
WENYEJI, Manchester United wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya AFC Bournemouth katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumanne Uwanja wa Old Trafford Jijini Manchester. Mabao ya Man United yamefungwa na Casemiro dakika ya 23, Luke Shaw dakika ya 49 na Marcus Rashford dakika ya 86. Kwa ushindi huo, Man United inafikisha pointi 35 katika mchezo wa 17, ingawa inabaki nafasi ya nne, ikizidiwa wastani wa mabao mengi na Newcastle United ambayo pia imecheza mechi moja zaidi, wakati AFC Bournemouth inabaki na pointi zake 16 za mechi 18 nafasi ya 15.
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment