TIMU ya Manchester City imetinga Raundi ya Nne ya Kombe la FA England baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Chelsea usiku huu Uwanja wa Etihad Jijini Manchester. Mabao ya Manchester City yamefungwa na Riyad Mahrez mawili dakika za 23 na 85 kwa penalti, Julian Alvarez kwa penalti pia dakika ya 30 na Phil Foden dakika ya 38 The Blues wakiendelea kukutana na matokeo mabaya kutokana na kukabiliwa na idadi kubwa ya wachezaji majeruhi.
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment