• HABARI MPYA

        Sunday, January 29, 2023

        LIVERPOOL YATUPWA NJE KOMBE LA FA ENGLAND


        WENYEJI, Brighton & Hove Albion wamesonga Raundi ya Tano ya Kombe la FA England baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Liverpool leo Uwanja wa The Amex, Falmer, East Sussex.
        Mabao ya Brighton & Hove Albion yamefungwa na Lewis Dunk dakika ya 39 na Kaoru Mitoma dakika ya 90 na ushei, wakati la Liverpool limefungwa na Harvey Elliott dakika ya 30.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: LIVERPOOL YATUPWA NJE KOMBE LA FA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry