• HABARI MPYA

        Thursday, January 26, 2023

        KAJULA NDIYE MTENDAJI MKUU MPYA SIMBA SC


        KLABU ya Simba imetambulisha Imani Kajula kuwa Mtendaji wake Mkuu mpya, akichukua nafasi iliyoachwa wazi na Barbara Gonzalez aliyejiuzulu Desemba kwa notisi ya mwezi mmoja na kuondoka madarakani Januari mwaka huu.

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: KAJULA NDIYE MTENDAJI MKUU MPYA SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry