TIMU ya Ihefu SC imepata ushindi wa ugenini wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya. Mabao ya Ihefu kutoka Mbarali, Ubaruku mkoani Mbeya yamefungwa na Ezekia Mwashilindi aliyejifunga dakika ya pili na Raphael Daudi Lothi dakika ya 90, wakati la Tanzania Prisons limefungwa na Jeremiah Juma dakika ya 64. Kwa matokeo hayo, Ihefu inafikisha pointi 23 na kusogea nafasi ya 10, wakati Tanzania Prisons inabaki na pointi zake pointi 21 na kushukia nafasi ya 12.
Press Conference: End of Year Address
-
Dear Members of Sports Media, You are kindly invited to attend and cover
the End of Year address on football matters by FUFA President Hon. Magogo
Moses ...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment