• HABARI MPYA

        Saturday, January 21, 2023

        HUYU MAMADOU DOUMBIA TAYARI KUANZA KAZI JANGWANI


        BEKI mpya wa Yanga, Mamadou Doumbia aliyesajiliwa kutoka Stade Malien ya kwao, Mali akiwa na Rais wa klabu hiyo, Mhandisi Hersi Said baada ya kuwasili nchini tayari kuanza kazi kwa mwajiri wake huyo mpya.

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: HUYU MAMADOU DOUMBIA TAYARI KUANZA KAZI JANGWANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry