WENYEJI, Geita Gold wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Dodoma Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Nyankumbu mjini Geita. Pongezi kwa wafungaji wa mabao hayo, Amos Kadikilo dakika ya 45 na ushei na Edmund John dakika ya 75. Kwa ushindi huo Geita Gold inafikisha pointi 27 na kusogea nafasi y tano, wakati Dodoma Jiji FC inabaki na pointi zake 21 nafasi ya 12 baada ya wote kucheza mechi 20.
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment