WENYEJI, Fulham wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Chelsea katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Craven Cottage Jijini London. Mabao ya Fulham yamefungwa na Willian dakika ya 25 na Carlos Vinicius dakika ya 73, wakati la Chelsea limefungwa na Kalidou Koulibaly dakika ya 47. Kwa matokeo hayo, Fulham inafikisha pointi 31 katika mchezo wa 19 ikisogea nafasi ya sita, wakati Chelsea inabaki na pointi zake 25 za mechi 18 nafasi ya 10.
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment