• HABARI MPYA

        Thursday, January 19, 2023

        CHAMA AKABIDHIWA TUZO YAKE YA MCHEZAJI BORA WA SIMBA DESEMBA


        KIUNGO mshambuliaji wa Kimataifa wa Zambia, Clatous Chotta Chama akiwa ameshika Tuzo yake ya Mchezaji Bora wa Mashabiki wa Simba SC baada ya kukabidhiwa na wadhamini, Emirate Aluminium Profile sambamba mfano wa Hundi ya Sh. Milioni 2 leo Jijini Dar es Salaam.


        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: CHAMA AKABIDHIWA TUZO YAKE YA MCHEZAJI BORA WA SIMBA DESEMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry