WENYEJI, Brentford City wameibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Liverpool katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Gtech Community. Mabao ya Brentford la kwanza alijifunga Ibrahima Konate dakika ya 19, la pili akafunga Yoane Wissa dakika ya 42 na la tatu Bryan Mbeumo dakika ya 84, wakati la Liverpool limefungwa na Alex Oxlade-Chamberlain dakika ya 50. Kwa ushindi huo, Brentford inafikisha pointi 26 katika mchezo wa 18 na kusogea nafasi ya saba ikizidiwa pointi mbili na Liverpool ambayo hata hivyo ina mechi moja mkononi.
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment