// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
ARSENAL YALAZIMISHWA SARE NA NEWCASTLE UNITED 0-0 EMIRATES - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEARSENAL YALAZIMISHWA SARE NA NEWCASTLE UNITED 0-0 EMIRATES - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ARSENAL YALAZIMISHWA SARE NA NEWCASTLE UNITED 0-0 EMIRATES
WENYEJI, Arsenal wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Newcastle United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumanne Uwanja wa Emirates Jijini London. Pamoja na sare hiyo, Arsenal inaendelea kuongoza Ligi Kuu ya England kwa pointi zake 44 za mechi 17, ikiwazidi pointi nane mabingwa watetezi, Manchester City ambao hata hivyo wana mechi moja mkononi. Kwa upande wao Newcastle United baada ya sare hiyo wanafikisha pointi 35 katika mchezo wa 18 na kuendelea kushika nafasi ya tatu ikiizidi wastani wa mabao tú Manchester United ambayo imecheza mechi 17.
Press Conference: End of Year Address
-
Dear Members of Sports Media, You are kindly invited to attend and cover
the End of Year address on football matters by FUFA President Hon. Magogo
Moses ...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment