
Tuesday, January 31, 2023

BAO pekee la Mohamed Abdelrahman dakika ya 45 limeipa Al Hilal ya Sudan ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Azam FC katika mchezo wa kirafiki u...
SIMBA SC YAONGOZA KWA HAT-TRICK LIGI KUU
Tuesday, January 31, 2023
KUELEKEA Raundi tisa za mwisho za Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Simba ndio inaongoza kwa kutoa waliofunga mabao matatu kila mmoja kwenye mechi ...
TASMA: KLABU ZINAFOJI HATI ZA VIPIMO VYA ZA WACHEZAJI
Tuesday, January 31, 2023
MWENYEKITI wa Chama cha Madaktari wa Michezo (TASMA) Dk. Lisobine Hamisi Kisongo kuna klabu zinafoji hati za vipimo vya Afya vya wachezaji n...
MAHOJIANO BIN ZUBEIRY NA ATHANAS MICHAEL
Tuesday, January 31, 2023
Monday, January 30, 2023
JEZI MPYA ZA YANGA KWA AJILI YA KOMBE LA SHIRIKISHO
Monday, January 30, 2023
WACHEZAJI wa Yanga wakionyesha jezi mpya zenye nembe ya mdhamini mpya, kampuni ya Haier iliyoingia mkataba wenye thamani ya Sh. Bilioni 1.5 ...
YANGA YAPATA MDHAMINI MPYA WA BILIONI 1.5
Monday, January 30, 2023
KLABU ya Yanga imeingia mkataba na kampuni ya Haier wenye thamani ya Sh. Bilioni 1.5 kama mdhamini mkuu kwenye michuano ya Kombe la Shirikis...
YANGA SC 7-0 RHINO RANGERS (KOMBE LA TFF)
Monday, January 30, 2023
MANGUNGU ASHINDA TENA UENYEKITI SIMBA SC
Monday, January 30, 2023
HATIMAYE matokeo ya Uchaguzi wa Simba SC yametangwzwa na Murtaza Ally Mangungu ameshinda tena nafasi ya Mwenyekiti wa Klabu kwa kupata kura ...
Sunday, January 29, 2023
YANGA YAITANDIKA RHINO 7-0 NA KUSONGA MBELE ASFC
Sunday, January 29, 2023
MABINGWA watetezi, Yanga SC wametinga Hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) b...
IHEFU YAITOA NAMUNGO KWA MATUTA KOMBE LA TFF RUANGWA
Sunday, January 29, 2023
TIMU ya Ihefu FC imesonga mbele Hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC)...
LIVERPOOL YATUPWA NJE KOMBE LA FA ENGLAND
Sunday, January 29, 2023
WENYEJI, Brighton & Hove Albion wamesonga Raundi ya Tano ya Kombe la FA England baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Liverpool leo Uwa...
MAN UNITED YASHINDA 3-1 NA KUSONGA MBELE FA
Sunday, January 29, 2023
WENYEJI, Manchester United jana wamefanikiwa kwenda Raundi ya Tano ya Kombe la FA England baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Reading Uwa...
SIMBA SC 1-0 COASTAL UNION (KOMBE LA TFF)
Sunday, January 29, 2023
Saturday, January 28, 2023
SIMBA SC YAITOA COASTAL UNION KWA KUICHAPA 1-0 DAR
Saturday, January 28, 2023
BAO pekee la kiungo wa Kimataifa wa Mali, Sadio Kanoute dakika ya 56 limeipa Simba SC ushindi wa 1-0 dhidi ya Coastal Union katika mchezo w...
KMC YAICHAPA COPCO 1-0 NA KUSONGA MBELE ASFC
Saturday, January 28, 2023
BAO pekee la mshambuliaji wa Kimataifa wa Burundi, Steve Nzigamasabo dakika ya 84 limeipa KMC ushindi wa 1-0 dhidi ya Copco FC ya Mwanza ka...
MAN CITY YAITUPA NJE ARSENAL KOMBE LA FA ENGLAND
Saturday, January 28, 2023
TIMU ya Manchester City imefanikiwa kwenda Raundi ya Tano ya Kombe la FA England baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Arsenal usiku huu Uwanja w...
Friday, January 27, 2023
AZAM FC YAITANDIKA DODOMA JIJI 4-1 NA KUSONGA MBELE ASFC
Friday, January 27, 2023
TIMU ya Azam FC imefanikiwa kwenda Hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASF...
BODI YA LIGI YAISHUSHA DARAJA GWAMBINA NA KUIFUNGIA MISIMU MIWILI
Friday, January 27, 2023
KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeishusha Daraja na kuifungia kwa misimu miwili klabu ya Gwam...
MTIBWA SUGAR YASHINDA 4-0 NA KUSONGA MBELE ASFC
Friday, January 27, 2023
WENYEJI, Mtibwa Sugar wamefanikiwa kwenda Hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya...
KASEKE AFUNGIWA NA FAINI JUU KWA USHIRIKINA
Friday, January 27, 2023
MCHEZAJI wa Singida Big Stars, Deus Kaseke amefungiwa mechi tatu na kutozwa faini ya Sh. 500,000 kwa tuhuma za kufanya mambo ya kishirikina ...
Thursday, January 26, 2023
NAMUNGO FC YATOA SARE 1-1 NA AL HILAL CHAMAZI
Thursday, January 26, 2023
TIMU ya Namungo FC leo imetoka sare ya kufungana bao 1-1 na Al Hilal ya Sudan katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje ...
KAJULA NDIYE MTENDAJI MKUU MPYA SIMBA SC
Thursday, January 26, 2023
KLABU ya Simba imetambulisha Imani Kajula kuwa Mtendaji wake Mkuu mpya, akichukua nafasi iliyoachwa wazi na Barbara Gonzalez aliyejiuzulu De...
MAN UNITED YATANGULIZA MGUU FAINALI CARABAO CUP
Thursday, January 26, 2023
TIMU ya Manchester United imetanguliza mguu mmoja katika Fainali ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup baada ya ushindi wa ma...
Wednesday, January 25, 2023
MUSONDA NA AZIZ KI WAFUNGA YANGA YASHINDA 2-0 KIGAMBONI
Wednesday, January 25, 2023
TIMU ya Yanga imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Transit Camp katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Avic Town, Somangira, Kigamboni nje...
INONGA NA PHIRI WAANZA MAZOEZI SIMBA SC
Wednesday, January 25, 2023
WACHEZAJI wa Simba waliokuwa majeruhi, beki Mkongo Henock Inonga Baka 'Varane', kiungo Mmalawi, Peter Banda na mshambuliaji Mzambia ...
CAF YAMPA JUKUMU LIUNDA MECHI YA USM ALGER NA LUPOPO
Wednesday, January 25, 2023
SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limemteua Mkufunzi wa Waamuzi nchini, Leslie Liunda kuwa Mtathimini wa Waamuzi wa mchezo wa hatua ya makundi...
Tuesday, January 24, 2023
MAHOJIANO BIN ZUBEIRY NA NGADE CHABANGA DYAMWALE
Tuesday, January 24, 2023
MKOKO APIGA HAT TRICK NAMUNGO YAITANDIKA KMC 3-1 UHURU
Tuesday, January 24, 2023
TIMU ya Namungo FC imepata ushindi wa ugenini wa mabao 3-1 dhidi ya wenyeji, KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Uh...
GEITA GOLD YAILAZA COASTAL UNION 1-0 NYANKUMBU
Tuesday, January 24, 2023
TIMU ya Geita Gold imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Nyankumbu...
AL HILAL YAJA NCHINI KUCHEZA NA AZAM, NAMUNGO NA SIMBA SC
Tuesday, January 24, 2023
KLABU ya Al Hilal ya Sudan inatarajiwa kuwasili nchini kesho kuweka kambi ya kujiandaa na michezo ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Ikiwa nchini, ...
KOCHA ROBERTINHO AREJEA KWAO BRAZIL KWA WIKI
Tuesday, January 24, 2023
KOCHA mpya Mkuu wa Simba SC, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ ameondoka usiku wa kuamkia leo kwenda nchini kwao Brazil kwa shughuli binafsi za ...
Monday, January 23, 2023
YANGA SC 1-0 RUVU SHOOTING (LIGI KUU TZ BARA)
Monday, January 23, 2023
YANGA SC YAICHAPA RUVU SHOOTING 1-0 BAO LA KUJIFUNGA
Monday, January 23, 2023
BAO la kujifunga la Nahodha wa Ruvu Shooting, Mpoki Mwakinyuke limeipa Yanga SC ushindi wa 1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara u...
SINGIDA BIG STARS YAICHAPA AZAM FC 1-0 LITI
Monday, January 23, 2023
BAO pekee la kiungo Mbrazil, Bruno Gomez dakika ya 45 limeipa Singida Big Stars ushindi wa 1-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu y...
Sunday, January 22, 2023
DODOMA JIJI FC 0-1 SIMBA SC (LIGI KUU TZ BARA)
Sunday, January 22, 2023
HAALAND APIGA HAT TRICK YA NNE MAN CITY YASHINDA 3-0
Sunday, January 22, 2023
MABINGWA watetezi, Manchester City wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Wolverhampton Wanderers katika mchezo wa Ligi Kuu ya England l...
ARSENAL YAICHAPA MANCHESTER UNITED 3-2 EMIRATES
Sunday, January 22, 2023
WENYEJI, Arsenal FC wameibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Manchester United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Emirates...
BALEKE AING’ARISHA SIMBA SC DODOMA, YASHINDA 1-0
Sunday, January 22, 2023
BAO pekee la mshambuliaji mpya kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Jean Toria Baleke Othos limeipa Simba SC ushindi wa 1-0 dhidi ...
MBEYA CITY YAICHAPA MTIBWA SUGAR 1-0 SOKOINE
Sunday, January 22, 2023
BAO pekee la Sixtus Sabilo dakika ya 14 limeipa Mbeya City ushindi wa 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara ...
TANZANIA PRISONS YAACHANA NA KOCHA WAKE MKENYA
Sunday, January 22, 2023
KUTOKANA na mfululizo wa matokeo mabaya, klabu ya Tanzania Prisons imeachana na kocha wake Mkenya, Patrick Odhiambo
SHIRAZ SHARRIF, MFADHILI WA ZAMANI YANGA AFARIKI DUNIA
Sunday, January 22, 2023
ALIYEKUWA Mfadhili wa Yanga tangu miaka ya 1960, Shiraz Sharrif amefariki dunia leo katika hospitali ya Seif Jijini Dar es Salaam. Taarifa z...
Saturday, January 21, 2023
UCHAGUZI MKUU SIMBA SC KUFANYIKA JULIUS NYERERE CENTRE
Saturday, January 21, 2023
UCHAGUZI Mkuu wa klabu ya Simba utafanyika katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam Januari 29,...
HUYU MAMADOU DOUMBIA TAYARI KUANZA KAZI JANGWANI
Saturday, January 21, 2023
BEKI mpya wa Yanga, Mamadou Doumbia aliyesajiliwa kutoka Stade Malien ya kwao, Mali akiwa na Rais wa klabu hiyo, Mhandisi Hersi Said baada y...
IHEFU YAICHAPA TANZANIA PRISONS 2-1 SOKOINE
Saturday, January 21, 2023
TIMU ya Ihefu SC imepata ushindi wa ugenini wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja...
LIVERPOOL YALAZIMISHWA SULUHU NA CHELSEA ANFIELD
Saturday, January 21, 2023
WENYEJI, Liverpool FC wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Chelsea katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield Jijini Liv...
MECHI YA WATANI SIMBA NA YANGA YASOGEZWA MBELE LIGI KUU
Saturday, January 21, 2023
MCHEZO wa marudiano wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya watani, Simba na Yanga uliopangwa kufanyika Aprili 9, mwaka huu umesogezwa mbele h...
Friday, January 20, 2023
GEITA GOLD YATOKA SARE 1-1 NA POLISI TANZANIA 1-1 NYANKUMBU
Friday, January 20, 2023
WENYEJI, Geita Gold wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa ...
MAN CITY YAIBAMIZA TOTTENHAM HOTSPUR 4-2 ETIHAD
Friday, January 20, 2023
MABINGWA watetezi, Manchester City wameibuka na ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya wenyeji, Tottenham Hotspur usiku wa jana katika mchezo wa Ligi...
Thursday, January 19, 2023
MUSONDA AFUNGA BAO PEKEE YANGA YASHINDA 1-0 KIGAMBONI
Thursday, January 19, 2023
BAO pekee la mshambuliaji mpya kutoka Zambia, Kennedy Musonda limeipa Yanga SC ushindi wa 1-0 dhidi ya Dar City katika mchezo wa kirafiki le...
CHAMA AKABIDHIWA TUZO YAKE YA MCHEZAJI BORA WA SIMBA DESEMBA
Thursday, January 19, 2023
KIUNGO mshambuliaji wa Kimataifa wa Zambia, Clatous Chotta Chama akiwa ameshika Tuzo yake ya Mchezaji Bora wa Mashabiki wa Simba SC baada ya...
SIMBA SC YASHUSHA KOCHA MSAIDIZI KUTOKA TUNISIA
Thursday, January 19, 2023
KLABU ya Simba imemtambulisha Ouanane Sellami kuwa Kocha Msaidizi, hilo likiwa pendekezo la kocha mpya, Mbrazil Robert Oliviera ‘Robertinho’...
MCHEZAJI WA SINGIDA BIG STARS AFARIKI MAZOEZINI
Thursday, January 19, 2023
KLABU ya Singida Big Stars ile thibitisha kutokea kwa kifo cha aliyekuwa mchezaji na Nahodha wa timu yake ya vijana chini ya umri wa miaka 1...
SIMBA SC 3-2 MBEYA CITY (LIGI KUU TZ BARA)
Thursday, January 19, 2023
MAN UNITED YATOA SARE 1-1 NA CRYSTAL PALACE
Thursday, January 19, 2023
TIMU ya Manchester United imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na wenyeji, Crystal Palace katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa J...
Subscribe to:
Posts (Atom)