
Sunday, December 31, 2023

KLABU ya Azam FC imemsajili kipa wa Kimataifa wa Sudan, Mohamed Mustafa kwa mkopo wa miezi sita kutoka El Merreikh ya kwao, Omdurman. Moham...
KIPRE JUNIOR MCHEZAJI BORA, BRUNO KOCHA BORA LIGI KUU DESEMBA
Sunday, December 31, 2023
WINGA wa Azam FC, Zenón Kipre Emmanuel Junior amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kwa mwezi Desemba 2023 akiwas...
Saturday, December 30, 2023
MAN UNITED KAMA KAWAIDA YAO, WAMEPIGWA 2-1 THE CITY
Saturday, December 30, 2023
WENYEJI, Nottingham Forest wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Manchester United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa T...
AZAM FC YAWACHAPA CHIPUKIZI 1-0 NA KUONGOZA KUNDI A MAPINDUZI
Saturday, December 30, 2023
BAO pekee la mshambuliaji Msenegal, Alassane Diao dakika ya 12 limeipa Azam FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Chipukizi United katika mchezo wa Kun...
MAN CITY YAWACHAPA VIBONDE SHEFFIELD UNITED 2-0 ETIHAD
Saturday, December 30, 2023
MABINGWA watetezi, Manchester City wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Sheffield United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwan...
CHELSEA YAICHAPA LUTON TOWN 3-2 PALE PALE KENILWORTH
Saturday, December 30, 2023
TIMU ya Chelsea imeibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya wenyeji, Luton Town katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Kenilworth ...
MABINGWA MLANDEGE SARE TENA, 1-1 NA VITAL’O KOMBE LA MAPINDUZI
Saturday, December 30, 2023
MABINGWA watetezi, Mlandege FC wamekamilisha mechi mbili za Kundi A bila ushindi baada ya kutoa sare ya kufungana bao 1-1 na Vital’O ya Buru...
MWINYI ZAHERA KOCHA MPYA NAMUNGO FC
Saturday, December 30, 2023
KLABU ya Namungo FC imemtambulisha Mkongo, Mwinyi Zahera kuwa kocha wake mpya Mkuu kuelekea sehemu iliyobaki ya msimu wa Ligi Kuu ya NBC Tan...
SINGIDA YAANZA NA MOTO KOMBE LA MAPINDUZI, YAUA 4-1
Saturday, December 30, 2023
TIMU ya Singida Fountain Gate jana imeanza vyema michuano ya Kombe la Mapinduzi 2024 baada ya ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya wenyeji, JKU kat...
Friday, December 29, 2023
ARSENAL YAPUNGUZWA KASI, YAGONGWA NYUNDO MBILI NA WEST HAM PALE PALE EMIRATES
Friday, December 29, 2023
WENYEJI, Arsenal usiku wa jana wamepunguzwa kasi katika mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ya England baada ya kuchapwa mabao 2-0 na West Ham Unite...
Thursday, December 28, 2023
AZAM FC YASAJILI MSHAMBULIAJI KUTOKA COLOMBIA
Thursday, December 28, 2023
KLABU ya Azam FC imemtambulisha mshambuliaji Franklin Navarro (24) iliyemsajili kutoka Cortuluá FC ya Daraja la Pili nchini kwao, Colombia.
YANGA SC YAACHANA NA MFIKIRWA AMEMALIZA MKATABA
Thursday, December 28, 2023
KLABU ya Yanga imeachana na Mkurugenzi wake wa Matawi na Wanachama, CPA Hajji Mfikirwa baada ya kumaliza mkataba wake.
AZAM FC YAANZA NA SARE 0-0 NA MLANDEGE KOMBE LA MAPINDUZI
Thursday, December 28, 2023
TIMU ya Azam FC imeanza michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa sare ya bila mabao na mabingwa watetezi na wenyeji, Mlandege FC katika mchezo wa ...
SHABIKI WA SIMBA SC, MAN UNITED ATAJIRIKA NA MILIONI 173 ZA M-BET
Thursday, December 28, 2023
SHABIKI wa klabu ya Simba na timu ya Manchester United ya England Seif Babu amefunga droo ya Perfect12 ya kampuni ...
Subscribe to:
Posts (Atom)