TIMU ya Yanga imeapangwa Kundi D pamoja na Monastir ya Tunisia, TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Real Bamako ya Mali katika Kombe la Shirikisho Afrika.
Kundi A linaundwa na USMA Alger ya Algeria, Marumo Gallants ya Afrika Kusini, Al Akhder ya Libya na St Eloi Lupopo ya DRC.
Kundi B linazikutanisha ASEC Mimosa ya Ivory Coast, DC Motema Pembe, Diables Noirs za DRC na Rivers United ya Nigeria.
Kundi C kuna Pyramids na Future za Misri, ASKO Kara ya Togo na AS FAR Rabat ya Morocco.
Ikumbukwe Yanga ilifuzu Hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuitoa Club Africain ya Tunisia kwa kuichapa 1-0 pale Tunis kufuatia sare ya 0-0 ya Dar es Salaam.
Na Hawa Monastir, vigogo wengine wa Tunisia ndio ambao waliwatoa waliokuwa mabingwa watetezi, ya Morocco.
*CAF Confederation Cup*
Group D
1. TP Mazembe 🇨🇩
2. US Monastir 🇹🇳
3. Young Africans 🇹🇿
4. Real Bamako 🇲🇱
*MD1: 12.02.23*
TP Mazembe v Real Bamako
US Monastir v Young Africans
*MD2: 19.02.23*
Young Africans v TP Mazembe
Real Bamako v US Monastir
*MD3: 26.02.23*
TP Mazembe v US Monastir
Real Bamako v Young Africans
*MD4: 7-8.03.23*
US Monastir v TP Mazembe
Young Africans v Real Bamako
*MD5: 19.03.23*
Real Bamako v TP Mazembe
Young Africans v US Monastir
*MD6: 02.04.23*
TP Mazembe v Young Africans
US Monastir v Real Bamako
0 comments:
Post a Comment