TIMU ya Liverpool imepata ushindi wa ugenini wa 2-1 dhidi ya Tottenham Hotspur katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Tottenham Hotspur. Mabao yote ya Liverpool yamefungwa na Mohamed Salah dakika ya 11 na 40, wakati la Tottenham Hotspur limefungwa na Harry Kane dakika ya 70. Kwa matokeo hayo, Liverpool inafikisha pointi 19 katika mchezo wa 13 na kusogea nafasi ya nane, wakati Spurs inabaki na pointi zake 26 za mechi 14 nafasi ya nne.
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment