WENYEJI, Mtibwa Sugar wameibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Manungu Complex, Turiani mkoani Morogoro. Mabao ya Mtibwa Sugar yamefungwa na Ismail Mhesa dakika ya 45 na ushei na Onesmo Mayaya dakika ya 48, wakati la Polisi limefungwa Ambroce Awio dakika ya 35. Kwa ushindi huo, Mtibwa Sugar inafikisha pointi 21 katika mchezo wa 13 na kusogea nafasi ya nne, wakati Polisi Tanzania inabaki na pointi zake tisa za mechi 13 nafasi ya 15.
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment