WENYEJI, Chelsea jana wamehitimisha mechi zao za Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa ushindi wa 2-1 dhidi ya Dinamo Zagreb ya Croatia Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London. Mabao ya Chelsea yamefungwa na Raheem Sterling dakika ya 18 na Denis Zakaria dakika ya 30, baada ya Dinamo Zagreb kutangulia na bao la Bruno Petković dakika ya saba. Kwa ushindi huo, Chelsea inamaliza na pointi 13 mbele ya AC Milan yenye pointi 10, Salzburg pointi sita na Dinamo Zagreb pointi nne.
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment