WENYEJI, Aston Villa wameibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Manchester United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Villa Park. Mabao ya Aston Villa ya kocha Unai Emery yamefungwa na Leon Bailey dakika ya saba, Lucas Digne dakika ya 11 na Jacob Ramsey dakika ya 49, akitoka kujifunga dakika ya 45 kuwapatia bao pekee Manchester United. Kwa ushindi huo, Aston Villa inafikisha pointi 15 katika mchezo wa 14 nafasi ya 13, wakati Manchester United ya kocha Erik ten Hag inabaki na pointi 23 za mechi 13 nafasi ya tano.
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment