// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); 11/01/2022 - 12/01/2022 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE 11/01/2022 - 12/01/2022 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, November 30, 2022
    CHAMBO AIFUNGIA DODOMA JIJI YAICHAPA COASTAL 1-0

    CHAMBO AIFUNGIA DODOMA JIJI YAICHAPA COASTAL 1-0

    TIMU ya Dodoma Jiji FC imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Coastal Union ya Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo U...
    YANGA KUMENYANA NA KURUGENZI YA SIMIYU ASFC, SIMBA NA EAGLE

    YANGA KUMENYANA NA KURUGENZI YA SIMIYU ASFC, SIMBA NA EAGLE

    DROO ya Raundi ya Pili ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kamaAzam Sports Federation Cup (ASFC) imefanyika leo Jijini Da...
    Tuesday, November 29, 2022
    KMC YALAZIMISHWA SARE YA 0-0 NA PRISONS UHURU

    KMC YALAZIMISHWA SARE YA 0-0 NA PRISONS UHURU

      WENYEJI, KMC wamelazimishwa sare ya 0-0 na Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jana Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es...
    Monday, November 28, 2022
    Sunday, November 27, 2022
    AZAM FC YAICHAPA COASTAL UNION 3-2 CHAMAZI

    AZAM FC YAICHAPA COASTAL UNION 3-2 CHAMAZI

    WENYEJI, Azam FC wameibuka na ushindi wa 3-2 dhidi ya Coastal Union ya Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa...
    Saturday, November 26, 2022
    MAYELE APIGA MBILI YANGA YASHINDA 2-0 DAR

    MAYELE APIGA MBILI YANGA YASHINDA 2-0 DAR

    MABINGWA watetezi, Yanga SC wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Benjami...
    BODI YA LIGI YAMFUNGIA MECHI TATU BEKI MGANDA

    BODI YA LIGI YAMFUNGIA MECHI TATU BEKI MGANDA

    BEKI Mganda wa Singida Big Stars, Shafiq Batambuze amefungiwa mechi tatu na kutozwa faini ya Sh. 500,000 kwa kosa alilofanya kwenye mechi dh...
    SINGIDA BIG STARS YAIPIGA RUVU 1-0 PALE PALE UHURU

    SINGIDA BIG STARS YAIPIGA RUVU 1-0 PALE PALE UHURU

    BAO la Frank Zakaria dakika ya 78 limeipa Singida Big Stars ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya ya ...
    Friday, November 25, 2022
    GEITA GOLD YAICHAPA IHEFU 1-0 NA KUPANDA NNE BORA LIGI KUU

    GEITA GOLD YAICHAPA IHEFU 1-0 NA KUPANDA NNE BORA LIGI KUU

    TIMU ya Geita Gold imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Ihefu SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Nyankumbu mjini Gei...
    Wednesday, November 23, 2022
    MBEYA CITY YATOA SARE NA SIMBA 1-1 SOKOINE

    MBEYA CITY YATOA SARE NA SIMBA 1-1 SOKOINE

    WENYEJI, Mbeya City wametoa sare ya kufungana bao 1-1 na Simba SC katika mchezo wa Ligi ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya...
    SINGIDA STARS YAICHAPA KMC 1-0 LITI BAO LA KAGERE

    SINGIDA STARS YAICHAPA KMC 1-0 LITI BAO LA KAGERE

    BAO pekee la mshambuliaji Mnyarwanda, Meddie Kagere dakika ya 40 limetosha kuipa Singida Big Stars ushindi wa 1-0 dhidi ya KMC katika mchezo...
    Monday, November 21, 2022
    MTIBWA SUGAR YAICHAPA POLISI TANZANIA 2-1 MANUNGU

    MTIBWA SUGAR YAICHAPA POLISI TANZANIA 2-1 MANUNGU

    WENYEJI, Mtibwa Sugar wameibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Manungu ...
    KAGERA SUGAR YAICHAPA PRISONS 1-0 SOKOINE

    KAGERA SUGAR YAICHAPA PRISONS 1-0 SOKOINE

    BAO pekee la Meshack Abraham dakika ya 86 limeipa Kagera Sugar ushindi wa ugenini wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Tanzania Prisons kwenye mchezo w...
    Sunday, November 20, 2022
    AZAM FC YAIPIGA NAMUNGO 1-0 MAJALIWA NA KUREJEA KILELENI

    AZAM FC YAIPIGA NAMUNGO 1-0 MAJALIWA NA KUREJEA KILELENI

    TIMU ya Azam FC imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Namungo FC usiku huu katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Majal...
    IHEFU SC YAICHAPA COASTAL UNION 2-1 UBARUKU

    IHEFU SC YAICHAPA COASTAL UNION 2-1 UBARUKU

    WENYEJI, Ihefu SC wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa...
    Saturday, November 19, 2022
    Friday, November 18, 2022
    Thursday, November 17, 2022
    MAYELE APIGA HAT TRICK YANGA YAICHAPA SINGIDA 4-1

    MAYELE APIGA HAT TRICK YANGA YAICHAPA SINGIDA 4-1

    MABINGWA watetezi, Yanga SC wameibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Singida Big Stars katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwa...
    Wednesday, November 16, 2022
    PHIRI AFUNGA BAO PEKEE SIMBA YAILAZA NAMUNGO 1-0

    PHIRI AFUNGA BAO PEKEE SIMBA YAILAZA NAMUNGO 1-0

    BAO pekee la mshambuliaji Mzambia, Moses Phiri dakika ya 32 limeipa Simba SC ushindi wa 1-0 dhidi ya Namungo FC usiku huu Uwanja wa Benjami...
    GEITA GOLD YAWATANDIKA PRISONS 4-2 SOKOINE

    GEITA GOLD YAWATANDIKA PRISONS 4-2 SOKOINE

    TIMU ya Geita Gold imeibuka na ushindi wa ugenini wa 4-2 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa...
    MTIBWA SUGAR YAICHAPA COASTAL UNION 2-1 MANUNGU

    MTIBWA SUGAR YAICHAPA COASTAL UNION 2-1 MANUNGU

    WENYEJI, Mtibwa Sugar wameibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa ...
    Tuesday, November 15, 2022
    AZAMFC YAREJEA KILELENI BAADA YA KUIPIGA RUVU 1-0 CHAMAZI

    AZAMFC YAREJEA KILELENI BAADA YA KUIPIGA RUVU 1-0 CHAMAZI

    BAO la penalti la mshambuliaji Mkongo, Idris Mbombo dakika ya 73 limetosha kuipa Azam FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo...
    Monday, November 14, 2022
    Sunday, November 13, 2022
    KINDA CLEMENT AING’ARISHA YANGA KIRUMBA

    KINDA CLEMENT AING’ARISHA YANGA KIRUMBA

    MABINGWA watetezi, Yanga SC wamerejea kileleni mwa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Kagera Sugar Uwanja w...
    MBEYA CITY YALAZIMISHWA SARE 2-2 NA COASTAL UNION SOKOINE

    MBEYA CITY YALAZIMISHWA SARE 2-2 NA COASTAL UNION SOKOINE

    WENYEJI, Mbeya City wamelazimishwa sare ya kufungana mabao 2-2 na Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa So...
    Saturday, November 12, 2022
    SIMBA SC YAICHAPA IHEFU SC 1-0 NA KUISHUSHIA YANGA NAFASI YA TATU

    SIMBA SC YAICHAPA IHEFU SC 1-0 NA KUISHUSHIA YANGA NAFASI YA TATU

    BAO pekee la winga Msenegal, Pape Ousmane Sakho dakika ya 63 limeipa Simba SC ushindi wa 1-0 dhidi ya Ihefu SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya ...
    AZAM FC YAPANDA KILELENI LIGI KUU BAADA YA KUIPIGA 4-3 MTIBWA

    AZAM FC YAPANDA KILELENI LIGI KUU BAADA YA KUIPIGA 4-3 MTIBWA

    TIMU ya Azam FC imepanda kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa ugenini wa mabao 4-3 dhidi ya Mtibwa Sugar j...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    NDONDI

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top