MABINGWA watetezi, Yanga SC wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Mabao ya Yanga yamefungwa na kiungo Feisal Salum Abdallah dakika ya 52 na beki na Nahodha, Bakari Nondo Mwamnyeto dakika ya 71, wakati la Ruvu Shooting limefungwa na beki Rolland Msonjo dakika ya 86. Kwa matokeo hayo, Yanga wanafikisha pointi 13, ingawa wanabaki nafasi ya pili nyuma ya watani, Simba SC wanaoongoza kwa wastani mzuri tu wa mabao baada ya wote kucheza mechi sita. Kwa upande wao, Ruvu Shooting wanabaki na pointi zao tisa za mechi sita pia nafasi ya nne.
Retiring Nadal loses at farewell Davis Cup
-
Rafael Nadal loses in what might prove to be the final match of his career
as Davis Cup hosts Spain fall behind against the Netherlands.
Ghana Black Stars fail to Qualify for Afcon 2025
-
Ghana Black Stars hopes of ending their Africa Cup of Nations qualifying
campaign on a high note were dashed as they lost 2-1 to Niger in their
final Gr...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment