KUELEKA kumbukumbu ya miaka 23 ya kifo cha hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, klabu ya Yanga imezindua Jezi maalum kumuenzi Rais huyo wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Jezi hizo ambazo ni TOLEO MAALUM (SPECIAL EDITION) zipo chache na zinapatikana Makao Makuu ya Klabu hiyo, Jangwani Jijini Dar es Salaam, GSM Sports Salamander Tower - Samora, Msasani na Mlimani City kwa tshs 40,000 tu.
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment