• HABARI MPYA

        Friday, October 28, 2022

        SIMBA SC YAPATA MKATABA WA BIMA MILIONI 250 KWA MWAKA


        KLABU ya Simba SC imeigia mkataba wa miaka miwili wa bima ya afya kwa wachezaji, benchi la ufundi na menejimenti ya Simba na kampuni ya bima ya Moassurance kwa kipindi miaka miwili wenye thamani ya Sh. Milioni 250. 

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: SIMBA SC YAPATA MKATABA WA BIMA MILIONI 250 KWA MWAKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry