// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); POLISI TANZANIA YAACHANA NA KOCHA WAKE MFARANSA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE POLISI TANZANIA YAACHANA NA KOCHA WAKE MFARANSA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Wednesday, October 26, 2022

        POLISI TANZANIA YAACHANA NA KOCHA WAKE MFARANSA


        KLABU ya Polisi Tanzania imeachana na kocha wake Mrundi, Joslin Sharrif Bipfubusa baada ya miezi mitatu tu tangu ajiunge na timu hiyo Julai 26.
        Hatua hiyo inakuja siku moja baada ya Polisi Tanzania kuchapwa 2-0 na Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jana Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.
        Kwa ujumla mwenendo wa Polisi haukuwa mzuri chini ya Bipfubusa, kwani katika mechi tisa ilizocheza hadi sasa imeambulia pointi tano tu kufuatia kushinda moja na sare mbili, huku nyingine zote sita ikipoteza.


        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: POLISI TANZANIA YAACHANA NA KOCHA WAKE MFARANSA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry