WENYEJI, Namungo FC wamepanda kileleni mwa Ligi Kuu ya Tanzania Bara licha ya sare ya bila kufungana na KMC katika mchezo uliofanyika Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi. Namungo FC inafikisha pointi 11 katika mchezo wa tano na kupanda juu ya msimamo, ikizizidi pointi moja moja zote Simba na Yanga ambazo hata hivyo zina mechi moja moja mkononi. Kwa upande wao, KMC wanafikisha pointi sita katika m hizo wa tano pia na kusogea nafasi ya tisa.
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment