• HABARI MPYA

        Thursday, October 20, 2022

        MBAPPE AJUMUISHWA KIKOSI CHA NGORONGORO HEROES


        MSHAMBULIAJI wa KRC Genk ya Ubelgiji, Kelvin Pius John ‘Mbappe’ ameorodheshwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes kitakachoingia kambini Jumamosi kujiandaa na michuano ya CECAFA U20 kuwania tiketi ya AFCON U20 mwakani nchini Misri.


        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: MBAPPE AJUMUISHWA KIKOSI CHA NGORONGORO HEROES Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry