• HABARI MPYA

        Monday, October 17, 2022

        MAN UNITED YATOA SULUHU NA NEWCASTLE OLD TRAFFORD


        WENYEJI, Manchester United jana walilazimishwa sare ya 0-0 na Newcastle United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Old Trafford.
        Kwa matokeo hayo, Man United wanafikisha pointi 16 katika mechi ya tisa nafasi ya tano, wakati Newcastle United sasa ina pointi 15 baada ya kucheza mechi 10 nafasi ya sita.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: MAN UNITED YATOA SULUHU NA NEWCASTLE OLD TRAFFORD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry