// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
IHEFU HATIMAYE YASHINDA MECHI YA KWANZA LIGI KUU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEIHEFU HATIMAYE YASHINDA MECHI YA KWANZA LIGI KUU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
TIMU ya Ihefu imepata ushindi wa kwanza wa msimu katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara kufuatia kuichapa Dodoma Jiji 2-0 leo Uwanja wa Highlands Estate huko Mbarali, Mbeya. Mabao ya Ihefu yamefungwa na Jaffary Kibaya dakika ya 23 na Obrey Chirwa dakika ya 27 na kwa ushindi huo wanafikisha pointi tano na kusogea nafasi ya 14, wakati Dodoma Jiji inayobaki na pointi tano baada ya wote kucheza mechi saba inashukia nafasi ya 15.
Uganda U17 Boys Face Kenya in Group A Finale
-
The Uganda U17 Boys National Team is bracing for one of the most pivotal
matches in their campaign as they take on familiar rivals Kenya in the
final Gro...
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment