• HABARI MPYA

        Tuesday, October 18, 2022

        IBWE ATEULIWA KUWA KAIMU AFISA HABARI AZAM FC


        KLABU ya Azam FC imemtangaza Hasheem Ibwe kuwa Kaimu Afisa Habari wake kuanzia leo, Oktoba 18, 22,  hadi hapo itakapotangazwa vinginevyo.
        Hasheem Ibwe anachukua nafasi hiyo kipindi hiki ambacho, Afisa Habari wa Azam FC, Thabit Zakaria ‘Zaka Zakazi’ anatumikia adhabu ya kufungiwa na Bodi y Ligi.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: IBWE ATEULIWA KUWA KAIMU AFISA HABARI AZAM FC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry