TIMU ya Geita Gold FC imepata ushindi wa kwanza wa msimu baada ya kuichapa Polisi Tanzania mabao 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara mchana wa leo Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha. Mabao ya Geita Gold yamefungwa na George Mpole dakika ya 45 na Edmund John dakika ya 82, wakati bao pekee la Polisi Tanzania limefungwa na Hassan Kapona dakika ya 66. Kwa ushindi huo, Geita Gold inafikisha pointi sita katika mchezo wa sita na kusogea nafasi ya 12, wakati Polisi inabaki na pointi zake nne za mechi tano sasa nafasi ya 14.
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment