• HABARI MPYA

        Thursday, October 13, 2022

        COASTAL UNION NA GEITA GOLD ZATOKA SULUHU MKWAKWANI


        WENYEJI, Coastal Union wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.
        Kwa matokeo hayo, Coastal Union inafikisha pointi nane na kujivuta nafasi ya tisa, wakati Geita Gold sasa ina pointi saba nafasi ya 11 baada ya wote kucheza mechi saba.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: COASTAL UNION NA GEITA GOLD ZATOKA SULUHU MKWAKWANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry