TIMU ya Chelsea imefanikiwa kuibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Crystal Palace katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Selhurst Park Jijini London. Mabao ya Chelsea yamefungwa na Pierre-Emerick Aubameyang dakika ya 38 na Conor Gallagher dakika ya 90, wakati la Crystal Palace limefungwa na Odsonne Edouard dakika ya saba. Kwa matokeo hayo, Chelsea imefikisha pointi 13 katika nafasi ya tano, wakati Crystal Palace inabaki na pointi zake sita nafasi ya 16 baada ya wote kucheza mechi saba.
Statue is 'pretty special' - Kane
-
England captain Harry Kane tells BBC Newsround it is "pretty special" to
have a statue and mural of him at the Peter May Sports Centre in east
London, wher...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment