• HABARI MPYA

        Friday, October 28, 2022

        ARSENAL WACHEZEA KICHAPO 2-0 KWA PSV UHOLANZI


        WENYEJI, PSV wameichapa Arsenal mabao 2-0 katika mchezo wa Kundi Europa League usiku was Alhamisi Uwanja wa Philips Jijini Eindhoven nchini Uholanzi.
        Mabao ya PSV yamefungwa na Joey Veerman dakika ya 55 na Luuk de Jong dakika ya 63 na kwa ushindi huo wanafikisha pointi 10, ingawa wanabaki nafasi ya pili wakizidiwa pointi mbili na Arsenal kuelekea mechi za mwisho baada ya wote kucheza mechi tano.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: ARSENAL WACHEZEA KICHAPO 2-0 KWA PSV UHOLANZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry