
Monday, October 31, 2022

BAO pekee la mshambuliaji Mzimbabwe, Prince Dube Mpumelelo dakika ya 55 limeipa Azam FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Ihefu SC katika mchezo wa Li...
MBEYA CITY YAICHAPA RUVU SHOOTING 1-0 UHURU
Monday, October 31, 2022
WENYEJI, Ruvu Shooting wamechapwa 1-0 na Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. Ba...
SIMBA SC 5-0 MTIBWA SUGAR (LIGI KUU TZ BARA)
Monday, October 31, 2022
SIMBA QUEENS YACHAPWA 1-0 NA WAARABU MOROCCO
Monday, October 31, 2022
TIMU ya Simba Queens imeanza vibaya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake baada ya kuchapwa bao 1-0 na wenyeji FAR Rabat katika mchezo wa Ku...
Sunday, October 30, 2022
MAN UNITED YAICHAPA WEST HAM 1-0 OLD TRAFFORD
Sunday, October 30, 2022
BAO la kichwa cha kupaa cha Marcus Rashford dakika ya 37 limeipa Manchester United ushindi wa 1-0 dhidi ya West Ham katika mchezo wa Ligi Ku...
ARSENAL YAIBAMIZA NOTTINGHAM FOREST 5-0 EMIRATES
Sunday, October 30, 2022
TIMU ya Arsenal imeendeleza ubabe katika Ligi Kuu ya England baada ya kuichapa Nottingham Forest mabao 5-0 leo Uwanja wa Emirates Jijini Lon...
SIMBA SC YAIFUMUA MTIBWA SUGAR PUNGUFU 5-0 DAR
Sunday, October 30, 2022
WENYEJI, Simba SC wameibuka na ushindi wa 5-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Benjamin ...
NGORONGORO YAANZA VIBAYA KUWANIA TIKETI YA AFCON U20
Sunday, October 30, 2022
TIMU Taifa ya Tanzania chini ya Umri wa Miaka 20, Ngorongoro Heroes jana ilianza vibaya michuano ya kuwania kufuzu AFCON U20 baada ya kuchap...
MAN CITY YAIBAMIZA LEICESTER CITY 1-0
Sunday, October 30, 2022
BAO pekee la Kevin De Bruyne dakika ya 49 jana liliipa Manchester City ushindi wa 1-0 dhidi ya Leicester City katika mchezo wa Ligi Kuu ya E...
BRIGHTON YAIFUMUA CHELSEA 4-1 AMEX
Sunday, October 30, 2022
WENYEJI, Brighton & Hove Albion jana waliiadhibu Chelsea kwa kuitandika mabao 4-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Amex, M...
LIVERPOOL YAPIGWA 2-1 NA LEEDS UNITED PALE PALE ANFIELD
Sunday, October 30, 2022
TIMU ya Leeds United jana imewachapa wenyeji Liverpool mabao 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Anfield, Mabao ya Leeds...
Saturday, October 29, 2022
TANZANIA YAPIGWA 2-0 NA NIGERIA IBADAN, YATOLEWA AFCON U23
Saturday, October 29, 2022
TANZANIA imetupwa nje ya mbio za kuwania tiketi ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 23 baada ya kucha...
GEITA GOLD 1-1 YANGA SC (LIGI KUU TZ BARA)
Saturday, October 29, 2022
TANZANIA PRISONS YAICHOMOLEA NAMUNGO DAKIKA YA MWISHO
Saturday, October 29, 2022
WENYEJI, Tanzania Prisons wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwa...
YANGA SC YAICHAPA GEITA GOLD 1-0 NA KUWEKA POZI KILELENI
Saturday, October 29, 2022
BAO la penalti la winga Mghana, Bernard Morrison dakika ya 45 na ushei limeipa Yanga SC ushindi wa 1-0 dhidi ya Geita Gold katika mchezo wa ...
AZAM FC YALETA KOCHA MPYA WA MAZOEZI YA VIUNGO
Saturday, October 29, 2022
MTUNISIA. Dk. Moadh Hiraoui amewasili kuwa Kocha mpya wa mazoezi ya viungo katika klabu ya Azam FC. Dk. Moadh Hiraoui. mwenye wasifu mkubwa,...
Friday, October 28, 2022
SIMBA SC YAPATA MKATABA WA BIMA MILIONI 250 KWA MWAKA
Friday, October 28, 2022
KLABU ya Simba SC imeigia mkataba wa miaka miwili wa bima ya afya kwa wachezaji, benchi la ufundi na menejimenti ya Simba na kampuni ya bima...
PARIMATCH YAFANYA MABORESHO, YAJA KIBABE NA MFUMO MPYA
Friday, October 28, 2022
KAMPUNI ya michezo ya kubahatisha Parimatch imefanya maboresho makubwa katika tovuti yao ya kubashiri, ambayo kwa sasa itawawezesha wateja w...
AZAM FC 1-0 SIMBA SC (LIGI KUU TZ BARA)
Friday, October 28, 2022
ARSENAL WACHEZEA KICHAPO 2-0 KWA PSV UHOLANZI
Friday, October 28, 2022
WENYEJI, PSV wameichapa Arsenal mabao 2-0 katika mchezo wa Kundi Europa League usiku was Alhamisi Uwanja wa Philips Jijini Eindhoven nchini ...
RONALDO AREJEA NA KUFUNGA MAN U YASHINDA 3-0 ULAYA
Friday, October 28, 2022
TIMU ya Manchester United imefanikiwa kwenda Hatua ya Mtoano ya UEFA Europa League baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Sheriff Tiraspol katika ...
Thursday, October 27, 2022
YANGA SC YAENDELEA KUIMARISHA IDARA YAKE YA MAWASILIANO
Thursday, October 27, 2022
KLABU ya Yanga imeimarisha Idara yake ya Habari na Mawasiliano kwa kumuajiri mtayarishaji na mtangazaji, Abdulazeez Kipanduka.
AZAM FC YAIPIGA SIMBA 1-0 BAO PEKEE LA PRINCE DUBE
Thursday, October 27, 2022
BAO la mshambuliaji Mzimbabwe, Prince Dube Mpumelelo dakika ya 36 limetosha kuipa Azam FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Simba SC katika mchezo wa ...
YANGA 1-0 KMC (LIGI KUU TZ BARA)
Thursday, October 27, 2022
Wednesday, October 26, 2022
YANGA YAICHAPA KMC 1-0 BAO PEKEE LA FEI TOTO
Wednesday, October 26, 2022
BAO la kiungo Mzanzibari, Feisal Salum Abdallah dakika ya 80 limetosha kuipa Yanga SC ushindi wa 1-0 dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ...
MWENYEKITI DRFA ATOA FEDHA ZA MAENDELEO YA SOKA ILALA
Wednesday, October 26, 2022
MWENYEKITI wa Chama cha Soka mkoa wa Dar es Salaam (DRFA) Lameck Nyambaya ametoa shilingi Milioni 10 kwa ajili ya kuendeleza maendeleo ya m...
GEITA GOLD YAICHAPA RUVU SHOOTING 2-1 UHURU
Wednesday, October 26, 2022
TIMU ya Geita Gold imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya wenyeji, Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo ...
POLISI TANZANIA YAACHANA NA KOCHA WAKE MFARANSA
Wednesday, October 26, 2022
KLABU ya Polisi Tanzania imeachana na kocha wake Mrundi, Joslin Sharrif Bipfubusa baada ya miezi mitatu tu tangu ajiunge na timu hiyo Julai ...
NEEMA SIMBA QUEENS, YAPATA UDHAMINI MNONO WA M-BET
Wednesday, October 26, 2022
KAMPUNI ya michezo ya kubahatisha ya M-BET imeinga mkataba wa miaka mitano na klabu ya Simba Queens wenye thamani ya Sh bilioni 1. Simba Que...
CHELSEA YASONGA MBELE LIGI YA MABINGWA
Wednesday, October 26, 2022
TIMU ya Chelsea imefanikiwa kufuzu Hatua ya Mtoano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Red Bull Salzburg katika mchez...
Tuesday, October 25, 2022
BODI YA LIGI YATEMBEZA ADHABU KWA KLABU ZILIZOFANYA MAMBO KINYUME
Tuesday, October 25, 2022
KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Luu Tanzania juzi ilikutana katika kikao kawaida Oktoba da Kuchukua Hatua kadhaa.
NAMUNGO FC YAIKANDAMIZA KAGERA SUGAR 2-1 MAJALIWA
Tuesday, October 25, 2022
WENYEJI, Namungo FC wameibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku wa leo Uwanja wa Maja...
MTIBWA SUGAR YAICHAPA DODOMA JIJI 1-0 LITI
Tuesday, October 25, 2022
BAO pekee la Charles Ilamfya dakika ya 60 limetosha kuipa Mtibwa Sugar ushindi wa 1-0 dhidi ya Dodoma Jiji FC Uwanja wa LITI mjini Singida. ...
PRISONS YAIKANDAMIZA POLISI 2-0 SOKOINE
Tuesday, October 25, 2022
WENYEJI, Tanzania Prisons wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara mchana wa leo Uwan...
Monday, October 24, 2022
SINGIDA STARS YAIZIMA IHEFU 1-0 LITI
Monday, October 24, 2022
BAO pekee la Shafiq Batambuze dakika ya 17 limeipa Singida Big Stars ushindi wa 1-0 dhidi ya Ihefu SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania ...
YANGA SC 1-1 SIMBA SC (LIGI KUU TZ BARA)
Monday, October 24, 2022
DABODABO YA 888 BET YAENDELEA KUZALISHA WASHINDI
Monday, October 24, 2022
KWA wiki ya pili sasa kampuni ya michezo ya kubahatisha 888 bet imeendelea kuonesha kuwa ina nia ya kuendelea kuwa...
Subscribe to:
Posts (Atom)