• HABARI MPYA

        Monday, September 26, 2022

        TANZANIA YAENDELEA KUBORONGA SOKA LA UFUKWENI COSAFA


        TANZANIA imeendelea kufanya vibaya kwenye michuano ya Soka la Ufukweni ya COSAFA baada ya leo kuchapwa mabao 4-3 na Misri katika ufukwe wa South Beach Arena nchini Afrika Kusini.
        Ikumbukwe mechi ya kwanza Tanzania ilichapwa 4-2 na Uganda juzi hapo hapo South Beach.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: TANZANIA YAENDELEA KUBORONGA SOKA LA UFUKWENI COSAFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry