• HABARI MPYA

        Thursday, September 22, 2022

        SIMBA SC WAENDA ZANZIBAR KUCHEZA MECHI ZA KIRAFIKI


        KIKOSI cha Simba kinatarajiwa kuondoka kesho kwenda Zanzibar kwa ajili ya michezo miwili ya kirafiki kipindi huku cha mapumziko ya Ligi Kuu kupisha kalenda ya FIFA ya mechi za kirafiki za Kimataifa.


        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: SIMBA SC WAENDA ZANZIBAR KUCHEZA MECHI ZA KIRAFIKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry