TIMU ya Simba Queens imepangwa Kundi A katika Ligi ya Mabingwa Afrika pamoja na ASFAR ya Morocco, Green Buffaloes ya Zambia na Determines Girls ya Liberia.
Katika michuano hiyo itakayoanza Oktoba 30 hadi Novemba 13 nchini Morocco, Kundi B linaundwa na mabingwa watetezi, Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini, Bayelsa Queens ya Nigeria, Wadi Degla ya Misri na mwakilishi wa ukanda wa UNIFFAC.
0 comments:
Post a Comment