TIMU ya Simba SC imeibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Nyasa Big Bullets katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Awali Ligi ya Mabingwa Afrika jioni ya leo Uwanja wa Taifa wa Bingu Jijini Lilongwe nchini Malawi.
PHIRI APIGA BONGE LA BAO SIMBA YAWACHAPA WAMALAWI 2-0 KWAO
TIMU ya Simba SC imeibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Nyasa Big Bullets katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Awali Ligi ya Mabingwa Afrika jioni ya leo Uwanja wa Taifa wa Bingu Jijini Lilongwe nchini Malawi.
0 comments:
Post a Comment