WENYEJI, Mtibwa Sugar wameibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya Ihefu SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Manungu Complex, Turiani mkoani Morogoro. Mabao ya Mtibwa Sugar yamefungwa na Ismail Mhesa dakika ya 45, Issa Rashid dakika ya 50 na Nickson Kibabage dakika ya 82, wakati la Ihefu limefungwa na Andrew Simchimba dakika ya nane. Ihefu ilipoteza nafasi ya kupata bao baada ya mshambuliaji wake Mzambia, Obrey Chirwa kukosa penalti dakika ya 85 baada ya Juma Nyangi kumuangusha Issa Ngoah kwenye boksi.
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment