Friday, September 09, 2022

    MAN UNITED YASHUSHIWA KIPIGO NYUMBANI EUROPA LEAGUE


    BAO pekee la Brais Mendez kwa penalti dakika ya 59 kwa penalti jana liliipa Real Sociedad ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Manchester United katika mchezo wa Kundi E UEFA Europa League Uwanja wa Old Trafford.
    Penalti hiyo ilitolewa baada ya shuti  la mchezaji wa zamani wa Manchester City, David Silva kumbabatiza Lisandro Martinez mgumu na mkononi. 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAN UNITED YASHUSHIWA KIPIGO NYUMBANI EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry