MABAO ya Jack Grealish dakika ya kwanza, Erling Haaland dakika ya 16 na Phil Foden dakika ya 69 leo yameipa Manchester City ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Wolverhampton Wanderers katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Molineux. Man City inafikisha pointi 17 katika mchezo wa saba na kuendelea kuongoza ligi hiyo kwa wastani tu wa mabao dhidi ya Tottenham Hotspur baada ya wote kucheza mechi saba. Tottenham leo imeitandika Leicester City 6-2 Uwanja wa Tottenham Jijini London.
Uganda U17 Boys Face Kenya in Group A Finale
-
The Uganda U17 Boys National Team is bracing for one of the most pivotal
matches in their campaign as they take on familiar rivals Kenya in the
final Gro...
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment