• HABARI MPYA

        Thursday, September 22, 2022

        MAKOCHA WOTE WA CHAMPIONSHIP WATAKIWA KUWA NA DIPLOMA C YA CAF


        SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) kimeagiza makocha wote wa timu za Championship wawe na Daraja la Elimu ya Diploma C ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) au zaidi.



        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: MAKOCHA WOTE WA CHAMPIONSHIP WATAKIWA KUWA NA DIPLOMA C YA CAF Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry