• HABARI MPYA

        Wednesday, September 14, 2022

        LIVERPOOL YAICHAPA AJAX 2-1 ANFIELD


        TIMU ya Liverpool imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ajax katika mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya jana Uwanja wa Anfield. 
        Mabao ya Liverpool yalifungwa na Mohamed Salah dakika ya 17 na Joel Matip dakika ya 89, wakati la Ajax limefungwa na Mohammed Kudus dakika ya 27.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: LIVERPOOL YAICHAPA AJAX 2-1 ANFIELD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry